Niliwahi kupata huo ugonjwa miaka ile ya 90s.
jamaa alikuwa na nyumba ndogo, nyumba ndogo ikaenda chunya ikapata gonjwa,
jamaa akalibeba juu kwa juu akaniletea, baada ya mida akaanza ooo nilitumia taulo mahali fulani najiona sipo salama ebu na wewe nenda ukacheck, eee bana eeee kwenda pale ks miaka hiyo nikakutwa nalo, nikapewa dozi, kwenda kupima bado lipo, nikaongezwa dozi, kwenda kupima bado lipo, nikaenda pale opposite na uwanja wa mpira kulikuwa na kadispensary kadogo, nikapawa dawa kwenda kupima bado upo pale pale, nikarudi kwenye duka la jamaa yake mmoja akiitwa mondesya pale mwanjelwa nikampa vile vyeti akanipa dawa, baada ya kumaliza dawa nikaenda ks kupima ndo ikawa salama yangu, nikarudia tena kupima ikawa salama yangu, kutoka hapo imani kwa jamaa yangu ikawa 0%.