Nahitaji Sponsor wakunishika mkono kwenye biashara

Nahitaji Sponsor wakunishika mkono kwenye biashara

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,467
Reaction score
3,687
Habari Wana JF nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor, niingie nae mkataba, Mimi ndiye nitasimamia kampuni

Je, naweza kupata wapi au pakuanzia nipate tajiri atakayenishika mkono ,maana Sina uwezo kifedha ,lakini pia sijui nianzie wapi kupata tajiri atakayekubali kuwekeza pesa kwenye hii biashara

Naombeni msaada wenu.
 
Kiasi gani? Na yy mwekezaji ananufaika VP?
All the best
 
Andiko lina mapungufu mengi kama vile halijaelezea jina la biashara, namna mwenye wazo na mtoa fedha mtanufaika vipi? Lakini pia bado halijaweka wazi kiasi cha fedha kinachohitajika, utaalamu wa biashara endapo mtoa fedha anao kuelewa wa biashara hiyo atanufaika vipi kama fedha zake na ujuzi wake vikitumika kwa pamoja. Usiogope kutaja aina ya biashara ukahisi watu wataiba! Hakuna biashara mpya huku duniani....funguka unaweza shangaa kaka Mshana akamwaga mpunga wa maana.
 
Habari Wana JF nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor, niingie nae mkataba, Mimi ndiye nitasimamia kampuni

Je, naweza kupata wapi au pakuanzia nipate tajiri atakayenishika mkono ,maana Sina uwezo kifedha ,lakini pia sijui nianzie wapi kupata tajiri atakayekubali kuwekeza pesa kwenye hii biashara

Naombeni msaada wenu.
Kuna tofauti kati ya kusimamia na umiliki wa Biashara.
 
Back
Top Bottom