Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Biashara ganiHabari Wana jf Nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor,niingie nae mkataba ,Mimi ndiye nitasimamia kampun....
Kwa nchi yetu hii ni ngumu sana kuaminika, labda huyo tajiri awe ndugu yakoHabari Wana jf Nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor,niingie nae mkataba ,Mimi ndiye nitasimamia kampuni...
UANDISHI NDYE UNAFANYA BIASHARATajiri atoe pesa Kwa uandishi huu
Hata ndugu hatuwapi tuKwa nchi yetu hii ni ngumu sana kuaminika, labda huyo tajiri awe ndugu yako
Kuna tofauti kati ya kusimamia na umiliki wa Biashara.Habari Wana JF nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor, niingie nae mkataba, Mimi ndiye nitasimamia kampuni
Je, naweza kupata wapi au pakuanzia nipate tajiri atakayenishika mkono ,maana Sina uwezo kifedha ,lakini pia sijui nianzie wapi kupata tajiri atakayekubali kuwekeza pesa kwenye hii biashara
Naombeni msaada wenu.