Habar za jumatatu ya kwanza ya mwezi September!! Naamin tu wazima!
Kama somo linavosimeka hapo juu,,nahitaji sports ream za premio new model!! Nitafurah kama nitazipata zinazokuja na Magar ama ambazo n used toka Japan!!
Sihitaji hiz za kariakoo wanazodai ni za udongo sijui zinapinda au kukatika haraka!!
Mimi si mtaalamu ya haya mambo hivo pia nahitaji ushaur n ream zipi zitazonifaa kwa safar za mikikimikiki!! Pia ukinishaur wap naweza kuzipata nitakushukuru.
Niko DSM
Ahsanteni