Nahitaji Stabilizer nzuri kwa ajili ya vifaa

Nahitaji Stabilizer nzuri kwa ajili ya vifaa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nahitaji stabilizer kwa ajili ya Tv. Naombeni mawazo mafundi wananambia hata nikipata ya watts 500 kwa Tv peke yake ni sawa. Mwingine ananambia angalau iwe ya watts 1500 na kuendelea..

Nahitaji kwa ajili ya TV tu basi.. nmeona brands nyingi kama
1. Tronic
2. Dolphin
3. Kodtec
4. Westpoint
5. Paco
N.k naombeni ushauri wenu
 
Haimake sense kuweka stabilizer kwa TV, TV zina uwanja mpana wa ku operate 90 - 250V

ngumu kwa umeme kushuka chini ya iyo 90

ujanja UPS
 
haimake sense kuweka stabilizer kwa TV, TV zina uwanja mpana wa ku operate 90 - 250V

ngumu kwa umeme kushuka chini ya iyo 90

ungesema uweke UPS hapo kweli ungecheza
Flactuation inaua TV.
 
hmm, stabilizer hasa ni kwa vyombo vya 'motor' mf: friza, friji, siyo TV

Tz hata umeme ushuke ipi haupungui 100V
Umeme ambao hauko stable unaua Tz. Haitazimika, itafanyakazi vizuri tu ila haitakuwa na maisha marefu. I learnt the hard way. Nimeweka TV guard tu inasaidia.
 
Tv yangu inataka umeme wa 220-250 ndo umeme size yake. Ukishuka hapo inazima zima kila wakati na kujiwasha. Ni Phillips Brand.
 
Umeme ambao hauko stable unaua Tz. Haitazimika, itafanyakazi vizuri tu ila haitakuwa na maisha marefu. I learnt the hard way. Nimeweka TV guard tu inasaidia.
Mimi yangu inajizima na kujiwasha kila wakati.
 
Hii mada ni nzuri lakini naona kama wadau wanaikimbia au wajuvi hawajafika bado. Nasubiri madini hapa
 
Unauza bei gani?,weka number tukupigie

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Jihukumu mkuu, maana sikuwa na mpango wa kuuza hivyo sijapanga bei. Nimepita kwenye uzi huu ndo nikaikumbuka kuwa ipo tu
IMG_20220222_171647.jpg
IMG_20220222_171453.jpg
IMG_20220222_171306_1.jpg
 
Back
Top Bottom