Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Flactuation inaua TV.haimake sense kuweka stabilizer kwa TV, TV zina uwanja mpana wa ku operate 90 - 250V
ngumu kwa umeme kushuka chini ya iyo 90
ungesema uweke UPS hapo kweli ungecheza
hmm, stabilizer hasa ni kwa vyombo vya 'motor' mf: friza, friji, siyo TVFlactuation inaua TV.
Umeme ambao hauko stable unaua Tz. Haitazimika, itafanyakazi vizuri tu ila haitakuwa na maisha marefu. I learnt the hard way. Nimeweka TV guard tu inasaidia.hmm, stabilizer hasa ni kwa vyombo vya 'motor' mf: friza, friji, siyo TV
Tz hata umeme ushuke ipi haupungui 100V
TV guard siyo stabilizer, zina kazi mbili tofauti kabisaTV guard tu inasaidia.
Kwani nimekwambia ni vitu viwili sawa?TV guard siyo stabilizer, zina kazi mbili tofauti kabisa
Weka kapicha kaTV guard,stabilizer na hiyo UpsUmeme ambao hauko stable unaua Tz. Haitazimika, itafanyakazi vizuri tu ila haitakuwa na maisha marefu. I learnt the hard way. Nimeweka TV guard tu inasaidia.
Mimi yangu inajizima na kujiwasha kila wakati.Umeme ambao hauko stable unaua Tz. Haitazimika, itafanyakazi vizuri tu ila haitakuwa na maisha marefu. I learnt the hard way. Nimeweka TV guard tu inasaidia.
Tafuta stabilizer yenye motor saviour angalau 5KVATv yangu inataka umeme wa 220-250 ndo umeme size yake. Ukishuka hapo inazima zima kila wakati na kujiwasha. Ni Phillips Brand.
The answer is No. ... Electrical Input = Output + Losses.
5KVA ni nini?Tafuta stabilizer yenye motor saviour angalau 5KVA
Kwa nini haifai kwa TV?hmm, stabilizer hasa ni kwa vyombo vya 'motor' mf: friza, friji, siyo TV
Tz hata umeme ushuke ipi haupungui 100V
TV ni aina gani, nipe model#Kwa nini haifai kwa TV?
Unauza bei gani?,weka number tukupigieUkitaka used nichek. Ninayo Tronic, hutoweka TV tu, utaweka vifaa vyote ulivyonavyo ndani kwako.
Jihukumu mkuu, maana sikuwa na mpango wa kuuza hivyo sijapanga bei. Nimepita kwenye uzi huu ndo nikaikumbuka kuwa ipo tu