habari mkuu,
mimi ni office supplies kwa mwaka wa nane sasa biashara yangu inaitwa ( Havilla Enterprises ) nifanya kazi na office nyingi ikiwemo kuwapatia vitambulisho vya kazi kwa wafanyakazi , vitambulisho /business card/ news letter and Anual report kazi zangu zinafanyika kwa ubora wa hari ya juu sana
nipo Dar es salaam,
napatikana kwa 0657 14 5555 biashara yangu imesajiriwa na malipo ni kawa check .
karibu tufanye biashara
Thomas.