Habari Wakuu. Nataka kununua shares za kampuni za nje kwa mtindo wa fractional shares (sliced shares). Naomba kama kuna broker aliye Tanzania anayeuza share za kampuni za nje ( primarily USA) tuwasiliane ili niweze kufungua akaunti kwenye brokerage yake. Cha msingi minimum deposit iwe chini na commission fees ziwe chini. Natanguliza shukrani.