Nahitaji Subaru Forester XT, Harrier au Altezza Silver au Black kuanzia2001

Nahitaji Subaru Forester XT, Harrier au Altezza Silver au Black kuanzia2001

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
642
Reaction score
420
Wakuu nahitaji mojawapo ya gari hapo juu ila kwa Altezza nimeweka masharti kidogo na bajeti yangu mwisho kabisa kwa hizo gari mbili isizidi mil.7 ila kwa Altezza naweka Mil.5-6
Karibuni Pm kwa walio nayo tu, ila pia ushauri ruksa kwa hizo gari hapo juu kunishauri ipi ya kuchukua, mafuta sio ishu ninachotaka yenye mbio na stability nikiwa road
 
Subaru ipo vizuri sana, n'a ukipata Legacy y'a mwaka 2000, hazisumbui na zinatengenezeka
 
Altezza milion tano au sita unataka ipi uwe unashinda deils garage
 
Jipange ndugu,hutopata subaru kwa bei hiyo......
 
ni sawa na demu anataka simu nzuri hela hana
Unadhani Mademu wote wamenunua simu nzuri kwa bei za Dukani Mkuu, soko huria simu ya laki2 unaweza nunua hata kwa mia ishirini Mkuu
 
Unadhani Mademu wote wamenunua simu nzuri kwa bei za Dukani Mkuu, soko huria simu ya laki2 unaweza nunua hata kwa mia ishirini Mkuu
Hio utanunulia dukani kwa DR. SHIKA
 
Hio utanunulia dukani kwa DR. SHIKA
Nishapata Mkuu usipoteze muda, wakatisha tamaa walikuwepo toka enzi zile nanyi hamkuja kwa bahati mbaya Mungu kawaleta kwa makusudi yake kama haya, ila hapa umechelewa maana mambo yameenda kasi mno, kesho nipo njiani nalenga madaraja tu Mkuu kurudi home na Forester[emoji1]
 
Tupia foto
 
Back
Top Bottom