Ni bei gani kwani?Haupo serious Yaan Subaru kwa 7 m?
Hio utanunulia dukani kwa DR. SHIKAUnadhani Mademu wote wamenunua simu nzuri kwa bei za Dukani Mkuu, soko huria simu ya laki2 unaweza nunua hata kwa mia ishirini Mkuu
Nishapata Mkuu usipoteze muda, wakatisha tamaa walikuwepo toka enzi zile nanyi hamkuja kwa bahati mbaya Mungu kawaleta kwa makusudi yake kama haya, ila hapa umechelewa maana mambo yameenda kasi mno, kesho nipo njiani nalenga madaraja tu Mkuu kurudi home na Forester[emoji1]Hio utanunulia dukani kwa DR. SHIKA
Tupia fotoNishapata Mkuu usipoteze muda, wakatisha tamaa walikuwepo toka enzi zile nanyi hamkuja kwa bahati mbaya Mungu kawaleta kwa makusudi yake kama haya, ila hapa umechelewa maana mambo yameenda kasi mno, kesho nipo njiani nalenga madaraja tu Mkuu kurudi home na Forester[emoji1]
Hahah umemuweza aiseee.Tupia foto
Asikutishe,unapata tena namba C mbichi tu..Ni bei gani kwani?
Namba plus matunzo ya gari.Kuna gari namba D ziko hoi kutokana na rough driving.Na kuna watu wana magari namba A bado yako super.Asikutishe,unapata tena namba C mbichi tu..