Nahitaji supplier wa vifaa vya Ujenzi na Hardware

Hiki ndicho kikwazo wanachopitia vijana wanapotaka kuanza biashara kutokea chini kabisa bila mtaji.
 
Usijejaribu kutia hati ya nyumba kwa mkopo bank wa biashara ya hardware utanishukuru
 
Akili kubwa mtu wangu
 
DeepPond nilijua ni masuala ya jigijigi tu kumbe kwenye mambo ya biashara uko vizuri
Nimeappriciate the way ulivyo mkatia madini jamaa
 
Mkuu nitafute uchukue mkopo Hadi million 40
 
Unaweza kupata ma supplier wa vifaa vya ujenzi na kulinganisha bei zao kwa hawa jamaa mjenzi.co.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…