+86 183 3717 3935 achn n masuplier wa bongo mcheki uyu jmaa anauza bei y china jumla bei nafuu kutok Guangzhou nimefany nae business san is aanajiita @twenzetu_chinaRefer to the heading wakuu
Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.
Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
+86 183 3717 3935 achn n masuplier wa bongo mcheki uyu jmaa anauza bei y china jumla bei nafuu kutok Guangzhou nimefany nae business san is aanajiita @twenzetu_china
Utakuwa unachukua pc ngapi? Tufunge mkataba na Mimi niwe naagiza kwa fedha yangu mzigo ukifika unanilipa?Shukrani mkuu yeye ni mtu ana mzigo tayari mimi ni kwenda kuchagua na kulipia ?
au wa kuagiza yani hadi niweke order nilipie nisubiri ? maana hawa wa kuagiza wengi ni scammers ni risk sana
Model ip ni kwa tsh. Ngapi unanua nipe orodhaItategemea mkuu mm naanza pc 20 models tofauti tofauti
Nangojea majibuShukrani mkuu yeye ni mtu ana mzigo tayari mimi ni kwenda kuchagua na kulipia ?
au wa kuagiza yani hadi niweke order nilipie nisubiri ? maana hawa wa kuagiza wengi ni scammers ni risk sana
Ebu Acha kuwavurugia watu michongoChambo itanasa mda si mrefu..
Refer to the heading wakuu
Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.
Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
Refer to the heading wakuu
Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.
Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
Funguka ututoe tongotongo na sisi wengneMrejesho wa uzi wangu Nimepata supplier waarabu wapo hapa dar simu zao ni za dubai ni nzuri wana warehouse yao hapa dar na nimeshapakua mzigo wa kwanza umeisha
Hilo chimbo sikuipata humu jf humu walikuja wale wa tuma hela tukutumie n stuffs ila mimi hizo njia sifanyagi najua vzr cybercrime so niliwapa masharti yangu wakashindwa
Nashukuru sana kwa waliokuja PM ku advice pia
blackhawk wana mizigo ya aina yote android na iphone au ni iphone tu?Mrejesho wa uzi wangu Nimepata supplier waarabu wapo hapa dar simu zao ni za dubai ni nzuri wana warehouse yao hapa dar na nimeshapakua mzigo wa kwanza umeisha
Hilo chimbo sikuipata humu jf humu walikuja wale wa tuma hela tukutumie n stuffs ila mimi hizo njia sifanyagi najua vzr cybercrime so niliwapa masharti yangu wakashindwa
Nashukuru sana kwa waliokuja PM ku advice pia
hongera mkuu.Mrejesho wa uzi wangu Nimepata supplier waarabu wapo hapa dar simu zao ni za dubai ni nzuri wana warehouse yao hapa dar na nimeshapakua mzigo wa kwanza umeisha
Hilo chimbo sikuipata humu jf humu walikuja wale wa tuma hela tukutumie n stuffs ila mimi hizo njia sifanyagi najua vzr cybercrime so niliwapa masharti yangu wakashindwa
Nashukuru sana kwa waliokuja PM ku advice pia
Mkuu naomba namba zako ili na mimi unielekezeRefer to the heading wakuu