Habari wana jf! nimekuwa nikipitia jf kwa nyakati tofauti kwa kweli nimevutiwa sana na mtandao huu hasa ktk mada mbalimbali zinazohusu mustakabali wa taifa letu, hivyo nikaona na mimi nijiunge na ma-great thinker tubadilishane mawazo, hvyo naomba support yenu wakuu mimi bado ni mgeni hapa jamvini.