Nahitaji system ya Microfinance

Nahitaji system ya Microfinance

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Habari Wakuu!
Nahitaji system ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye kampuni ya mkopo.
Ya kununua moja kwa moja sio kulipia kwa mwezi.Tuwasiliane basi PM iko wazi.
 
Back
Top Bottom