Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 519
- 3,195
Una shilingi ngapi? Mimi ninayo moja used! Ina mpaka utambi wake kabisa! Kasoro tu haina mafuta ya taa.
Dah! Nimetoka kuiangalia stoo muda si mrefu, si nimekuta vijana wameiharibu! Niko Lushoto Tanga mkurugenzi.Nahitaji Mkuu, Unapatikana wap
HahahDah! Nimetoka kuiangalia stoo muda si mrefu, si nimekuta vijana wameiharibu! Niko Lushoto Tanga mkurugenzi.