Nahitaji taarifa kuhusu selection vyuo vya kilimo;(certificate and diploma) 2014

Nahitaji taarifa kuhusu selection vyuo vya kilimo;(certificate and diploma) 2014

yaasary

Senior Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
110
Reaction score
59
Ndugu naomba kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu selection za vyuo vya kilimo ngazi ya certificate and diploma kwa mwaka huu (2014) atujuze; ni lini majina yatatoka or any useful information; Nina rafiki yangu alituma maombi; anahitaji sana hizi taarifa; Thanks
 
Back
Top Bottom