Habari zenu Wakuu,
Poleni sana na #COVID-19.
Naomba msaada wa kupata tairi (specs: 225/55R17 97H) nne za gari. Nimejaribu kutafuta lakini kila napouliza wana za kichina au south korea lakini nahitaji zile za Japan kama Yokohama, Dunlop au Goodyear.
Shukrani.