Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,700
- 6,825
kuna mtu ana spark 2 anauza 180,000Habari wakuu
Nahitaji simu haraka sana kabla sijabadili matumizi ya hii pesa na kuipeleka TBL
Kwa aliye na Simu Tecno camon cm kwa 130000 nahitaji tufanye biashara..pesa iko mfuko wa shati hapa
Ok mimi nahitaji camon cmkuna mtu ana spark 2 anauza 180,000
Mkuu heri ukawekeze TBL uwe mwekezaji mzawa,ukifikisha miaka 60 uchukue mafao yako kuliko kuwekeza kwenye hiyo Kasamala ya kichinaHabari wakuu
Nahitaji simu haraka sana kabla sijabadili matumizi ya hii pesa na kuipeleka TBL
Kwa aliye na Simu Tecno camon cm kwa 130000 nahitaji tufanye biashara..pesa iko mfuko wa shati hapa
Hiyo ni bei ya Spark2 mpya kabisa Dukani.kuna mtu ana spark 2 anauza 180,000
Mkuu heri ukawekeze TBL uwe mwekezaji mzawa,ukifikisha miaka 60 uchukue mafao yako kuliko kuwekeza kwenye hiyo Kasamala ya kichina
Huko uwekezaji unafanywa kila siku na ndiko kumenipotezea simu yangu wikiend hii...ngoja kwanza nipate simu
Camon xpro 64gb storage, 4gb ram, android 8.0 bei yake 500,000 plus.