Nahitaji Toyota IST bajeti 7 Milioni

Nahitaji Toyota IST bajeti 7 Milioni

Bangila

Senior Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
117
Reaction score
147
Wakuu

NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali.

Mwenye nayo anicheck- PM
 
zipo za kulenga zikiwa na marekebisho kidogo.
tatizo ni hapio ulipomkwepa dalali.

wenye magari hawana ujanja katika kutafuta wateja, na wateja kama wewe hawana ujanja wa kujua wapi wapate bidhaa kwa bei ndogo

sorry
Tatizo madalali wanaweka cha juu kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom