Nahitaji Toyota Passo 4 Pistons tuwasiliane

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Wadau gharama za mafuta kila siku zinanishinda naishi mbali mwisho wa dunia. Gari ninayotumia ina 6 cyls 3000CC .

Kuna jamaa yangu anakuja na vitz yake anaenjoy sana.nami nmeamua nitafute toyota passo ya 4 pistons kwa mtu mwenye shida ya pesa ntampatia mil 4. Namba kuanzia C na kuendelea. Mwenye nayo awasiliane nami.kama unajua huna basi si mbaya ukasoma tu thread ukaiacha.
 
Kweli vyuma vimekaza. Kila la kheri mkuu.

Ila hata ka Vitz nako ni kazuri... au kama vipi opt pia kwenye IST
 
Ha ha ha... Vimebana ndugu yangu. Unakuwa na gari kubwa ukinunua mafuta una wafaidisha tu wengine... Hali ngumu

Kila la heri mkuu. Migari mikubwa sio ishu siku hizi
 
Ha ha ha... Vimebana ndugu yangu. Unakuwa na gari kubwa ukinunua mafuta una wafaidisha tu wengine... Hali ngumu
Unanunua kadogo ka kuoshea nyota mjini na kukusukuma kibaruani. Inapotokea safari ya Mkoa au kwenye matukio yenye heshima yake, unachukua mdinga mkubwa ili watu wajue bado upouopo sana...

Hiyo ndo janja ya mjini kwa sasa.
 
Kweli ndugu yangu sifa kwa sasa hazina nafasi...nlikuwa naziponda sana hizi gari lakin kwa sasa acha tu ninunue
Unanunua kadogo ka kuoshea nyota mjini na kukusukuma kibaruani. Inapotokea safari ya Mkoa au kwenye matukio yenye heshima yake, unachukua mdinga mkubwa ili watu wajue bado upouopo sana...

Hiyo ndo janja ya mjini kwa sasa.
 
Ila ujiandae aisee, ka passo ukikawasha kanatetemeka mpk utataka kukimbia.Ila ikishachochea vzr mitetemo inaisha.
 
ha ha ha.... unaweza chomoka kwenye gari kwanza ukimbie then kakipoa ndo unarudi..... hatari sana hii.

Hahah ni umasikini tu mkuu,hua vinatetemekaga mpk mtu anahisi kuwashwa mwili mzima aisee hahah
 
passo nyinngi sio imara, itakusumbua hadi Maji uite mma! subiri matokeo
 
Wadau gharama za mafuta kila siku zinanishinda naishi mbali mwisho wa dunia. Gari ninayotumia ina 6 cyls 3000CC .

Kuna jamaa yangu anakuja na vitz yake anaenjoy sana.nami nmeamua nitafute toyota passo ya 4 pistons kwa mtu mwenye shida ya pesa ntampatia mil 4. Namba kuanzia C na kuendelea. Mwenye nayo awasiliane nami.kama unajua huna basi si mbaya ukasoma tu thread ukaiacha.
387ae6193bf3d6eced81008fcda95e20.jpg
 
Ni kweli na kama ni 3 pistons mpaka mil 4 kwa wajanja maybe apate asiyezijua gari.
 
Back
Top Bottom