Kweli vyuma vimekaza. Kila la kheri mkuu.Wadau gharama za mafuta kila siku zinanishinda naishi mbali mwisho wa dunia. Gari ninayotumia ina 6 cyls 3000CC .
Kuna jamaa yangu anakuja na vitz yake anaenjoy sana.nami nmeamua nitafute toyota passo ya 4 pistons kwa mtu mwenye shida ya pesa ntampatia mil 4. Namba kuanzia C na kuendelea. Mwenye nayo awasiliane nami.kama unajua huna basi si mbaya ukasoma tu thread ukaiacha.
Unanunua kadogo ka kuoshea nyota mjini na kukusukuma kibaruani. Inapotokea safari ya Mkoa au kwenye matukio yenye heshima yake, unachukua mdinga mkubwa ili watu wajue bado upouopo sana...Ha ha ha... Vimebana ndugu yangu. Unakuwa na gari kubwa ukinunua mafuta una wafaidisha tu wengine... Hali ngumu
Unanunua kadogo ka kuoshea nyota mjini na kukusukuma kibaruani. Inapotokea safari ya Mkoa au kwenye matukio yenye heshima yake, unachukua mdinga mkubwa ili watu wajue bado upouopo sana...
Hiyo ndo janja ya mjini kwa sasa.
Ila ujiandae aisee, ka passo ukikawasha kanatetemeka mpk utataka kukimbia.Ila ikishachochea vzr mitetemo inaisha.
Hahah ni umasikini tu mkuu,hua vinatetemekaga mpk mtu anahisi kuwashwa mwili mzima aisee hahahha ha ha.... unaweza chomoka kwenye gari kwanza ukimbie then kakipoa ndo unarudi..... hatari sana hii.
passo nyinngi sio imara, itakusumbua hadi Maji uite mma! subiri matokeo
Wadau gharama za mafuta kila siku zinanishinda naishi mbali mwisho wa dunia. Gari ninayotumia ina 6 cyls 3000CC .
Kuna jamaa yangu anakuja na vitz yake anaenjoy sana.nami nmeamua nitafute toyota passo ya 4 pistons kwa mtu mwenye shida ya pesa ntampatia mil 4. Namba kuanzia C na kuendelea. Mwenye nayo awasiliane nami.kama unajua huna basi si mbaya ukasoma tu thread ukaiacha.
duh, hyo ni bei ikiwa mpya! mshauri auze mil.5 ndo anaweza pata mteja7.5mil
Kaongeza na za kwake huyuHayupo Serious huyo muuzaji. Passo Mil 7.5 ? Si bora nikanunue gari ya Maana au Ist 7.5 huyo muuzaji hajui magari na bei zake.
ahaaaa kaongeza mbili za mkweziKaongeza na za kwake huyu