Nahitaji Toyota Premio 2010

Nahitaji Toyota Premio 2010

Kama kichwa kinavyo eleza hapo yeyote anae uza gari ya aina hiyo aje pm.
Mfatilie jamaa anaitwa Jacktan Safari yuko insta jamaa ni dalali asiyekuwa na Tamaa amenyooka sana pitia page yake utanielewa.

-Ijapokuwa Premio ya Mwaka 2007 na 2010 tofauti yake ni Muundo wa Taa tu za Nyuma labda ya 2013 ina option ya Steering switch au ukizibahatisha chache za 2007 pia zina option ya Steering switch.​
 
Kama kichwa kinavyo eleza hapo yeyote anae uza gari ya aina hiyo aje pm.
IMG_3504.png
 
Back
Top Bottom