Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini iwe haijawah kuguswa engine zaidi ya kubadilisha oil tu:
Mi nipo kigoma naomba isiwe ya silver wala nyeupe manake udongo wa kigoma sio rafiki saana wa hizo rangi.
Njoo Dm chap hela ni iko mfuko wa shati chapu.
Mi nipo kigoma naomba isiwe ya silver wala nyeupe manake udongo wa kigoma sio rafiki saana wa hizo rangi.
Njoo Dm chap hela ni iko mfuko wa shati chapu.