Habari ya usiku wakuu.
Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho.
🔥Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc.
🔥Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na kuendelea.
🔥 Iwe katika hali safi kabisa isiyo na tatizo lolote
🔥ISIWE rangi nyeupe.
🔥Iwe na nyaraka zake halisi(full file)
🔥Ikiwa ni kutoka kwa mmiliki mwenyewe itakua vema zaidi.
🔥Offer yangu ni 9M pekee, ila kama chombo itakua mafuta KWELIKWELI pia LATEST zaidi naweza kujibana na kuongeza kodoooogo.
Nicheki WhatsApp kama unayo 0755963775