Nahitaji toyota rav4 ya mwaka 1998-1999-2000

Sendeu

Member
Joined
Jun 29, 2009
Posts
59
Reaction score
2
Wadau nishaurini ni show room gan ya uhakika ambayo haichakachui naweza kupata gari rav 4 ya 1998-2000 old model
nitashukuru wadau wangu
 
ipo kwenye hali gani ndugu waweza weka picha zake???
 
Mie nina Rav-4 Mayai nzuri mpya nimeishusha nataka milioni 15 unaitaka?
 
Bei iko juu sn wakuu mimi nahitaji ya 1998 mpaka 2000 kwa bajeti yangu wadau
 
Hii nzuri nimeipenda.kama unaweza ongeza hela uchukue ya 2002 tofauti si kubwa saaaaaaaaaaaana
 
Nimeiona ni ya ukweli huyu ndugu yangu kama ana extra money namshauri ajivute anunuenhiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…