Ninazo 2 kwa mil 7 each. Automatic na manual. Auto ina kitu kinagonga sijajua ni nini. Zimepaki tu home,ziko fresh.
Ni pm, ntakupatia gari kama unayoitaka for less na ipo hapa Dar tayari. Ina rangi ya Maroon, 5 doors, full option, ililetwa mwaka jana direct from Japan, kwa sasa ni ac haifanyi kazi matengenezo yake hayafiki laki moja. Itabidi uje na fundi unaemuamini akutazamie kila kitu. Aside ya ubovu wa ac, kila kitu kinafanya kazi vizuri. TZS 8m non negotiable. Kama uko interested ni pm.
Ipo 5 Doors manual ipo vizuri kama bado haujafanikiwa nitafute katika namba 0784225000