Nahitaji Truck 10 za kwenda Rwanda na Truck 150 kwenda Zambia

Nahitaji Truck 10 za kwenda Rwanda na Truck 150 kwenda Zambia

Nasco

Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
16
Reaction score
4
nina mzigo unakwenda rwanda na zambia nahitaji Truck leo na kesho

wasiliana nami kwa number hizi

0754 770207
0713770207

Thanks&Regards
 
ukichelewa kuleta gari utakuta wenzako wameshapakia

wahi mapema
 
Weka bei hapa,pia useme ni vichanja,box body au skeleton unahitaji?
 
si aende kwa kina bin cleb?...
una mzigo mkubwa uje kutangaza jf,kama huwajua transporter?
 
Ww eka bei na je mzigo local o transit inawezkana ni dalal tu
 
nina mzigo wa kwenda congo na burundi
nahitaji malori 100 bei yangu ni nzuri
mzigo ni loose cargo


rate per tone


Guney Congo - dola 225
Bukavu - dola 170
Goma - dola 170
Bunjumbura - dola 125

zambia container dola 4500 mfumbwe
wahi sasa nitafute kwa number hizi 0713770207 and 0754770207
 
Back
Top Bottom