A ATM ya JF Member Joined Feb 7, 2014 Posts 16 Reaction score 74 Feb 20, 2014 #1 HAbari wana jf, najitaji mtu anayeuza tshirt aina ye jezi ambazo ni original. aniuzie kwa bei ya jumla. ama anielekeze duka linalouza. pia anipe na bei ya jumla 0754078015 nakumbuka nikiwa dar nilikua nanunua elfu 8 kwa rejareja.
HAbari wana jf, najitaji mtu anayeuza tshirt aina ye jezi ambazo ni original. aniuzie kwa bei ya jumla. ama anielekeze duka linalouza. pia anipe na bei ya jumla 0754078015 nakumbuka nikiwa dar nilikua nanunua elfu 8 kwa rejareja.
A ATM ya JF Member Joined Feb 7, 2014 Posts 16 Reaction score 74 Feb 20, 2014 Thread starter #2 mwenye hii kitu ajitokeze
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,879 Feb 20, 2014 #3 Sio original hizo,elfu 8!lol, mi nauza elfu 70 moja