Nahitaji turubai ngumu

Nahitaji turubai ngumu

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,407
Reaction score
5,418
Habari wadau


Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji turubali ngumu kama zile zinazofunikia mizigo katika malori makubwa , sihitaji mpya ila itakayopatikana iwe nzima isivuje, hata kama itakuwa ina michoro , picha au matangazo ilimradi iwe ngumu .


Mwenye nayo tafadhali tuwasiliane PM
 
Mtafute Ally taikun maarufu kama mchizi mox anafanya hiyo biashara
 
Back
Top Bottom