Nahitaji Ubuyu wa Maembe

Nahitaji Ubuyu wa Maembe

Mpole mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
315
Reaction score
104
Habari... Wadau nisaidieni..nipate wapi ubuyu wa hivi huku Dar?! Kwa bei ya jumla. Ubuyu wenye ladha ya maembe niupate kila napoutaka. Msaada tafadhali.
 

Attachments

  • 1427464466898.jpg
    1427464466898.jpg
    131.2 KB · Views: 249
Ubuyu wenye ladha ya maembe.. Tafadhal nataka ninunue kwa bei ya jumla.
 

Attachments

  • 1427464692800.jpg
    1427464692800.jpg
    78.9 KB · Views: 147
Mombasa utapata jumla. Kariakoo wanauza rejareja pale Azam Center kuna duka pembeni wanauza rejareja.

Cc adakiss23
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom