M Mpole mimi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 315 Reaction score 104 Mar 27, 2015 #1 Habari... Wadau nisaidieni..nipate wapi ubuyu wa hivi huku Dar?! Kwa bei ya jumla. Ubuyu wenye ladha ya maembe niupate kila napoutaka. Msaada tafadhali. Attachments 1427464466898.jpg 131.2 KB · Views: 249
Habari... Wadau nisaidieni..nipate wapi ubuyu wa hivi huku Dar?! Kwa bei ya jumla. Ubuyu wenye ladha ya maembe niupate kila napoutaka. Msaada tafadhali.
east36 JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 1,306 Reaction score 492 Mar 27, 2015 #2 Ndugu huo katika kula unatafuna unamung'unya?
M Mpole mimi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 315 Reaction score 104 Mar 27, 2015 Thread starter #3 Ubuyu wenye ladha ya maembe.. Tafadhal nataka ninunue kwa bei ya jumla. Attachments 1427464692800.jpg 78.9 KB · Views: 147
M Mpole mimi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 315 Reaction score 104 Mar 27, 2015 Thread starter #4 r_baharia said: Ndugu huo katika kula unatafuna unamung'unya? Click to expand... Unamung'unya kama kawaida tu...ila ni mtamu sana.
r_baharia said: Ndugu huo katika kula unatafuna unamung'unya? Click to expand... Unamung'unya kama kawaida tu...ila ni mtamu sana.
Mbepo yamba JF-Expert Member Joined Aug 5, 2012 Posts 1,262 Reaction score 1,773 Mar 30, 2015 #5 Mpole mimi said: Unamung'unya kama kawaida tu...ila ni mtamu sana. Click to expand... unanunua kwa bei gani kwa pakiti?
Mpole mimi said: Unamung'unya kama kawaida tu...ila ni mtamu sana. Click to expand... unanunua kwa bei gani kwa pakiti?
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,155 Reaction score 34,303 Mar 30, 2015 #6 Mombasa utapata jumla. Kariakoo wanauza rejareja pale Azam Center kuna duka pembeni wanauza rejareja. Cc adakiss23 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mombasa utapata jumla. Kariakoo wanauza rejareja pale Azam Center kuna duka pembeni wanauza rejareja. Cc adakiss23
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 Mar 30, 2015 #7 Hahaha Karucee Last edited by a moderator: Jan 4, 2016