Asantengoja wajee wenye vitengo vyao
Kivip mkuu,mlango wa uani una maanisha nin.Mafuta unayatoa nchi gani?
owa mtaji huo nakushauri pita mlango wa uani
ZNZ ndio kwenye unafuu iwe kwa bandari/ndege | Ila changamoto itakuja kuutoa mzigo ZNZ kuja bara.2.bandari yenye unafuu wa kuingiza hi bidhaa?
Kabla ya kuagiza mzigo mkubwa, hakikisha kwanza unaagiza sample (ya mzigo)kama lita 3 tu. Kupitia hiyo sample utajifunza na kufahamu ni vibali/makaratasi yapi hutakiwa hadi mzigo kukufikia mkononi.Kuna ambalo sijaligusa niambiwe pia. Au naomba kukadiriwa huo mzigo nijiandae na sh ngapi pale bandarini.
Kuleta bara si anaupitisha kunduchi tu. Kule Kuna kibandari bubuZNZ ndio kwenye unafuu iwe kwa bandari/ndege | Ila changamoto itakuja kuutoa mzigo ZNZ kuja bara.
Kabla ya kuagiza mzigo mkubwa, hakikisha kwanza unaagiza sample (ya mzigo)kama lita 3 tu. Kupitia hiyo sample utajifunza na kufahamu ni vibali/makaratasi yapi hutakiwa hadi mzigo kukufikia mkononi.
Kuleta bara si anaupitisha kunduchi tu. Kule Kuna kibandari bubu
My Take:Kivip mkuu,mlango wa uani una maanisha nin.
Mafuta yanatoka ulaya ,UK
pitishia zanzibar kimbembe kitakuja kutoka zanzibar kuja bara ila itawezekanaKivip mkuu,mlango wa uani una maanisha nin.
Mafuta yanatoka ulaya ,UK
Kuna changamoto gani katka kupitisha mafuta kuingiza huku barapitishia zanzibar kimbembe kitakuja kutoka zanzibar kuja bara ila itawezekana