Nenda Kidongo chekunduwakuu..wapi ninaweza pata usafiri wa kampuni yeyote ya kutuma mizigo toka Dar kwenda Mbeya iwe lori au usafiri wowote rahisi..mizigo hiyo ni vitu vya ndani k.v fridge,masofa,kitanda etc..Naombeni msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Majuzi waziri alisema marufuku kusafirisha mzigo kwa bus muende ems mkuu postaaawakuu..wapi ninaweza pata usafiri wa kampuni yeyote ya kutuma mizigo toka Dar kwenda Mbeya iwe lori au usafiri wowote rahisi..mizigo hiyo ni vitu vya ndani k.v fridge,masofa,kitanda etc..Naombeni msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mzalendo penda nchi yako, nenda posta bwashee, fasta tu.wakuu..wapi ninaweza pata usafiri wa kampuni yeyote ya kutuma mizigo toka Dar kwenda Mbeya iwe lori au usafiri wowote rahisi..mizigo hiyo ni vitu vya ndani k.v fridge,masofa,kitanda etc..Naombeni msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
We unataka mwenzako aunge mkono juhudi za watukufu halafu yeye apate hasara kama si upotevu.Tumia POSTA itapendeza.
wakuu..wapi ninaweza pata usafiri wa kampuni yeyote ya kutuma mizigo toka Dar kwenda Mbeya iwe lori au usafiri wowote rahisi..mizigo hiyo ni vitu vya ndani k.v fridge,masofa,kitanda etc..Naombeni msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app