Nahitaji Usafiri wa Lusaka-Dar

Adinan Abdul

New Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Nina mzigo kutoka Lusaka kwenda Dar. Natafuta gari ya kuusafirisha kama Loose Cargo.
Uzito: Tani 2.5
Ujazo: Kama nusu ya Ujazo wa Canter
Aina ya mali: Bomba za mpira za 1/2" zilizoviringishwa kwenye mduara. Mfano wa bomba za kumwagilia bustanini zikiwa hazijafungiliwa.
Mawasiliano: 0677 055 660
 
Nikupeleke Ilala mm gari za Kongo pale mtaa wa Lindi
 
Sijaelewa vizuri hapo mkuu, kama hautojali nicheck whatsapp au direct call kwa namba hii 0677 055 660
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…