Nahitaji used mashine ya kufulia pamoja digital printing t shirt machine

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,576
Reaction score
20,183
za kwenu wakuu
kama heading inavyojieleza hapo juu
nahitaji mashine ya kufulia used,isiwe na tatizo

lakini pia nahitaji digital t shirt printing mashine sio lazima used hata mpya sio mbaya


kwa mwenye nayo au anafawahamu wap naweza pata hizo bidhaa hapo juu naomba aje pm na mimi nitampigia mara moja.
 

Mimi ninayo mashine ya kufulia mpya kabisa aina ya Samsung kama utahitaji ni PM
 
me ninayo mashine ya kuprint t shirt 1400000 haipungui mpya imetoka marekani kama unaitaka n pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…