Wakuu, nina uhitaji wa kifaa hicho kiwe ktk ubora ambao bado kinaweza kutumika kuendeshea mashine, kwani nimekutana na changamoto ya umeme pungufu kwenye shughuli yangu. Weka Bei na picha, karibu imbox
Kama upo Dar (Jiji la Lawama) nenda pale Posta TRONIC duka linaitwa Cash and Sale Store .
Karibu kabisa na Neelkanth House(Barabara ya Mwendokasi ukitokea kisutu kwenda ferry.
Week ilopita nimenunua 6KVA.