Eng Mose
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 242
- 322
Habari wana jamii wote,
Nina eneo Arusha linakaribia kufika heka moja, je napataje muwekezaji wa kujenga lodges ila kabla ya ujenzi tutaingia makubaliano maalumu na namna ya kulipana huko mbeleni. Eneo hilo sio naliuza.
Eneo lipo 20km kutoka ndani ya jiji la Arusha.
Naomba ushauri wa jinsi ya kupata mwekezaji.