Nahitaji ushauri juu ya Toyota Corona

Nahitaji ushauri juu ya Toyota Corona

1678788145285.png
 
Tafuta fundi akacheki engine na gear box kama hazina shida utafurahia thamani ya hiyo gari wengi wetu hapa tumeanza maisha ya magari na hizo mashine
 
Sema hivi hizi engine bado ziko kweli incase ikizingua? Au ndio hadi uweke special order japan!
 
Hizi gari kila unayokutana nayo ni T.... A.....!, Au T...... B....!!

Sijawahi kuiotea hii gari ikiwa na usajili wa T......, C......, T......, D......, Au T.... E....!!
 
Hio gari nakushauri chukua engine haifi hiyoo
 
Back
Top Bottom