Nahitaji ushauri katika hili

Nahitaji ushauri katika hili

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Habari ndugu wanajukwaa,

Mwaka jana nilikuwa nafanya biashara ya M-Pesa mara baada ya makadirio ya kodi kutoka TRA.Kwa mwaka huu sitaki kuendelea na hii biashara.

Swali langu:- Je, nikienda TRA kufunga biashara na ile line ya M-Pesa (Till) nayo itafungiwa kufanya kazi?
 
Wadau njoon basi mtoe mawazo yenu
 
Hao TRA ilikuwaje wakakukadiria kodi akati kwny biashara ya mobile money TRA huwa wanakata aslimia 10 zao kabla hata huja withdraw hyo comission yako??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lain haifumgwi kwasababu wenye mamlaka ya kuifunga ni wenye mtandao tu au TCRA kama haijakamilishwa.

Wewe ulitumia TIN yao kufungulia lain na huenda hawajui kama hiyo tin umefanyia mangapi, hivyo usiwe na hofu we kafunge tu biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom