Wao walinikadiria hivo hivo nduguhao TRA ilikuwaje wakakukadiria kodi akati kwny biashara ya mobile money TRA huwa wanakata aslimia 10 zao kabla hata huja withdraw hyo comission yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante ngoja nikawavaeLain haifumgwi kwasababu wenye mamlaka ya kuifunga ni wenye mtandao tu au TCRA kama haijakamilishwa.
Wewe ulitumia TIN yao kufungulia lain na huenda hawajui kama hiyo tin umefanyia mangapi, hivyo usiwe na hofu we kafunge tu biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app