Nahitaji ushauri na mawazo yenu pia kuhusu Biashara ya vitu vya kike

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana kijiji wenzangu wa jf nataka kuanza kufanya biashara juu ya vitu vya kike ndo maana naomba ushaur wenu hapa ni vitu gani wanawake wanavipenda kwa sasa na vpo kwenye fassion au hata kama havpo kwenye fassion ila vinanunuliwa saana na madada zetu

Nahitaji ushaur wenu asante saana
 
Hivi ni kweli hakuna hata mtu mmoja anayejuwa hii inshu?
 
mkuu unahiyaji hada kuuza nn . na upo wapi?

Nipo dar es salaam nna fremu yangu nafanya biashara za tigo pesa,m pesa na airtel money sasa nilikuwa sitaki kutegemea zaid hiyo nilitaka pia kuanzsha kitu kingne ndani ya hyo fremu ambacho ni kuuza vitu hususani vya kike ambavyo vinanunuliwa saana na madada zetu ili nizichange zaidi
 

je kuna makutano ya haya viumbe kupitapita katika maeneo hayo?
 
Hawa viumbe wanapenda bodyspray,underwear,mawigi,nywele,lotion,cream,viatu,vitop,blouse,tight,Lipsick,sindiria,etc
 

Pia wauzie Condom ZAO za kike kupunguza maambukizi ya VVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…