Si uachane kugawa tunda lako ufanye vitu vingine ambavyo utakuwa na hisia navyo.....Ni wiki ya tatu sasa napata hamu ya tendo lakini nikiingia kwenye mechi sipati raha au stimulation yoyote.
Mwenzangu huwa anaugulia tu kwa raha anazozipata lakini mimi siskii raha yoyote. Nlijaribu kwenda hospitali doctor akaniuliza kama nimeshawahi fanyiwa tohara
Nikamjibu sijawahi kufanyiwa tohara
Nilipewa dawa lakini hazisaidii
Ushauri wenu
tatizo hapo ni usugu, inaelekea ujana wako ulikuwa mwingi, tatizo halitibiki hiloNi wiki ya tatu sasa napata hamu ya tendo lakini nikiingia kwenye mechi sipati raha au stimulation yoyote.
Mwenzangu huwa anaugulia tu kwa raha anazozipata lakini mimi siskii raha yoyote. Nlijaribu kwenda hospitali doctor akaniuliza kama nimeshawahi fanyiwa tohara
Nikamjibu sijawahi kufanyiwa tohara
Nilipewa dawa lakini hazisaidii
Ushauri wenu
Inatokea hata kwa wanaume. Unaweza kupania kula tunda siku hiyo ikakygomea na kila ukijaribu hakuna kitu sasa akiondoka eti mjamaa anasumbuaPole bana lakini hiyo ni hali tu ya psychology punguza mawazo pia ujitahidi ku- concentrate wakati wa tendo na uongeze upendo kwa mtu unayeshiriki naye iwe kama ndiyo first time ya nyinyi kusex.
Wabongo nawakubali kwa tafsida,eti....tendo........Tunda lako ni chenza au chungwa,weka picha tuchangie uzuri(nimechangia bila kusoma mada)
Kweli aisee ata mimi hiyo hali inanitokea mara kwa mara sasa nimeamua kufanya mambo mengine tu ya maendeleo yangu.Inatokea hata kwa wanaume. Unaweza kupania kula tunda siku hiyo ikakygomea na kila ukijaribu hakuna kitu sasa akiondoka eti mjamaa anasumbua