Umeshaolewa kiroho na jini mahaba, halitak MTU mwingine akutumie
Ukiolewa kiroho unafanyiwa mambo haya
1. Kubanwa njia inakua ndogo kuingilika(kama hujawai)
2.Maumivu(makali) wakat wa tendo
3. Kuondolewa hisia wakat wa tendo(kama alifanikisha kukuingilia) hutasikia chochote ni kama kakushika mnoko2
4. Kuzibwa kikazi usishike mimba
5. Kufanywa umchukie mmeo/mpenz bila sababu
SULUHISHO
Yesu kristo alikuja duniani kuwafungua watu kama nyie, Onana na mchungaji upate Uhuru wako