Asante sana@mchepuko. Hivi chokaa huwa ina function gani katika plasta?mkuu wataalam watafika..ila ni vema unapiga plasta ya cement na Mchanga bila kusahau kufanya skimming hii itakurahisishia kutumia Nguvu ndogo sana kwenye rangi
Mkuu chokaa usiweke kabsa, kuna fundi alinishauri hivyo ila baada ya kupiga plasta , nilipopaka rangi ikawa inabanduka, ilibidi nitoe plasta yote tena. Plasta changanya cement na mchanga tuu, hakikisha unapata mchanga mzuri pia
plasta.. ni cement na mchanga tuuuu... huyo anaetaka kukuchanganyia na chokaa ataharibu.
Mim ningekuwa wew nisingepiga plasta ila ntapiga Puchi ndani na Nje kisha ndani wakati napiga ndani kwa ajili ya decoration lazima ichanganywena gypsum powder itakayofanya kuta iwe soft sana alaf napiga nari ninayotaka nyumba inakuwa fresh kbs
Mkuu unamaanisha nini unaposema "Puchi" naomba hio elimu kaka.
Darasa zuri sana. Asante sana kwa somoMi ni fundi wa vyote ushauri wangu sasa ni hiv, kama una2mia maji yenye chumvi kwa ujenzi ni vema ukachanganya huo mchanga na cement na chokaa wakat wa plaster ili utakapopaka rangi idumu. Na km maji hayana chumvi changanya mchanga na cement piga plaster yako ikikauka vizur km una uwezo skim kwa gypsum powder kisha paka rangi yako huo ukuta wa ndan lakn ukuta wa nje baada ya plaster skim kwa white cement kisha paka rangi yako.UTAIPENDA.
Kingereza chake sijui vzr ila hii puchi mara nying inapigwa nje ya nyumba ila kwasasa hapa kwetu arusha kama ni mfanyabiashara hasa wa nyumba za kupanga wanafanya hii kitu sana angalia hii picha japo ni chafu kidog