Nahitaji Ushauri ndugu zangu

Joined
May 15, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Nimefanikiwa kuchaguliwa chuo cha mipango dodoma kwa course ya Bachelor degree in Human Resources and Planning management na wakati huo huo nimechaguliwa chuo kikuu cha dodoma kwa special programme ya waalimu wa science kwa masomo ya Math & ICT niende wapi jamani????
 
Ndugu kama upo vizuri masuala ya maths nenda Udom maana ICT ni shidah
 
Kiukweli hata my sister ana masterz lkn kanishaur niende Udom na ICT ninaipenda kinyama
 
Nenda ict una uhakika wa kupata,ajira hrm unaweza ukazunguka na bahasha za aina zote
 
Vyuo bongo ni nomaa hivi graduate tunakosaje ajira!? Mi nimechoka jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…