Nahitaji ushauri nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani?

Tafuta eneo zuri kwa biashara ya viatu vya kike na kiume
Kisha safiri hadi mwanza mtaa ya Lumumba kuna maduka mengi ya jumla ya viatu ya kike na kiume na wanauza kwa bei ndogo sana fika pale chagua viatu vizuri nenda zako shinyanga kapige kazi ukichukuwa mzigo wa laki 3 mkubwa kabisa
 
Nashukuru kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…