king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Habari wana JF mim ni mwanafunz nimemaliza mwaka jana 4m 4 nikapata dv 3 nilifikisha vigezo vya D flat na C za eng na math kwa certficat nikaomba chuo nikapata nursing ila ile nimefika tu chuo wanasema jina hawalion na mpaka sasa cjapewa ufumbuz princpo wetu mwenyew hana jibu sahii kama kuna mtu amewah pata jambo kama hili au experence flan. Je! wanaweza kuniambia nirudi nyumbani au vp ushauri jaman PLZ