Nahitaji ushauri wa kisheria?

Nahitaji ushauri wa kisheria?

ASadick

Member
Joined
Jun 2, 2021
Posts
35
Reaction score
55
Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana.

Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke?

Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
 
Katisha hayo matumizi yote ya msingi yanayotoka kwako,na utaona mmoja mmoja anaondoka kwenda kujitafutia hayo matumizi ya msingi kwingine! Yaani kitaalam hiyo tunaita "Vikwazo vya kiuuchumi"
 
Tatizo ni kwamba matumizi nayafanya kwa ajili ya wanangu na ndio kiegezo wanacho kitumia kufaidi kupita hapo.
 
Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana.

Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke?

Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
Hapo hakuna msaada wowote wa kisheria unaohitajika. 32 yrs naweza bashiri hawaja olewa so watu wanasikilizia mikeka yao hapo.

Basi Itoshe kusema wapelekee moto.
 
Back
Top Bottom