nahitaji ushauri wenu wana mmu

Asprin ndio ushauri gani huo????duuuh
Hahahaha Yummy bana, mbona nlishaweka angalizo kuwa ni ushauri wa kibabubabu?

Mi nawashauri wanaume wanaopenda kuoa wake wawili wafanye haya makitu: Ishi nao kwa room moja muwe mnapiga haya makitu a.k.a Threesome!! Afu ukikondeana kama jibwa koko ndo tutajua kweli unajua kuchuja nafaka.
 
Last edited by a moderator:

hahahahahaaaaa Asprin wewe, threesome? Ndani yz wiki moja tu ataresti in pisi......
 
Last edited by a moderator:
Bishanga na MwanajamiiOne
ingekua mmoja wa wake zake ndo anacheat ungeweza sema kuwa labda ni tabia..... But wanapocheat wote wawili.....
Tena kwa kushirikiana......
Something is terribly wrong somewhere..........
Nahisi Kuna kitu wakeze wanakosa... Jamani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii inaitwa Bilabila or kama moja, moja wote, kama mbili, Mbili wote. Any way my advice to you. Kama unaweza na unauhakika with what ur explaining waulize tu n why wanafanya hivyo. Probably perfomance yako siyo Nzuri, or mwenzio ushindi ni bao Mbili wewe moja linakutosha. You need to think of what is your weekness and why Mawives wanamagwa nje. Ila ujui kuwaacha siyo solution cz up to now unawatoto watatu, so wanatosha sana for nowdays life. Tumia akiri kuamua
 
Hah na kweli mwaya ingawa inawezekana pia alianza Bi Mkubwa akaona ili siri yake iwe safe basi amshawishi na mdogo naye afanye au kinyume na hivyo. Ila je kweli kama hawatoshelezi ndo hawawezimwambia? loh. Mi sijui bwana labda mwenyewe anajiona anawamudu kumbe yu aishia kuparaza tu..................Wake wawili, tena vijana si mchezo aisee.......
 

Kaka nimekaa sana Pwani kwa maana halisi ya Pwani (sio dar mji usio na mwenyewe). Wazee wa Kipwani waliniambia ukiona wake zako wanapendana sana jua wanafichiana siri. Na siri yenyewe ni kuwa wanakuchezea shere. Bahati mbaya wewe ni muislamu lakini wa Bara huyajui hayo ndio sababu yamekukuta.

Chagua moja kuwamwaga wote, au kuuvijua kwa undani VIDUMU vyao na kuwaeleza "live" ili waache mchezo wao. Pili lazima uwachonganishe wachukiane ili uendelee kula kiulaini.

Mwisho POLE!
 
Nawashukuru sana wote mliotoa maoni yenu binafsi nimejifunza mengi sana hasa nilipoambiwa niende kurejea kwenye aya ya sunna. pia si kwamba kuwa na wake wawili ni swala la infidelity but hapa kuna mambo mengi sana ya kiimani yanayoingliana so kwa mtu asiye kuwa muelewa hawez kuyajua na mimi pia siwez kuendelea in that side.

hata hivyo mbarikiwe sana na nitaendelea kusoma ushauri wenu zaid na zaid.
 
Muuaji akilia hulia machozi halisi sio bandia. We chunia tu enedelea kula kote na wao waendelee kote yani jino kwa jino.
 
asante sana Yummy ila kumbuka mimi sijaoa kuwakomoa bali naruhusiwa na wao ni wanawake wanapaswa wawe na mume mmoja tu.

Nimekupendaje sio mtu akishakojoa tu huyo full kukoroma
 
daaah mi nimependa sana hiyo stail ya wakezo....sina mchango wa mawazo
 

Samahani ndugu yangu lakini kubali kuwa huna uwezo na hao wake wawili. Hata mmoja pia atakushinda.
Inawezekanaje mkeo ana kidumu nawe unajuwa halafu ubaki nao?
Pengine lengo lako ni kutaka kutuonyesha ubaya wa kuwa na wake wawili lakini tabia ya kuenda nje ya ndowa ni tabia binafsi ya mwanamke au mwanamme na wala haihusiani na uwili au utatu. Hivyo unataka tukufahamu kuwa wanawake walio ndani ya ndowa moja hawaendi nje ya ndowa? Halafu ni mwanammke gani mwenye akili asitie maanani mgonjwa au wivu katika dunia yetu ya sasa. Inawezekana hao wake zako wana matatizo ya kufikiri.
 
Ile baridi ya juzi kati ilikuwa kali sana kiasi kwamba suala la zamu haliwezi kuzingatiwa. Bottomline ni kuukubali ukweli kwamba binadamu ni binadamu tu. Sioni kama tunatenda haki kuoa wanawake wengi tusiowamudu kama King Mswati. Lazima apate wasaidizi.
 
Pole sana kaka kwa matatizo yaliyokukuta cha msingi kaa nao chini na uwe mnyeyekevu uwaulize tatizo ni nini? Pili msisahau kuchek AFYA ZENU sababu hapo kuna mzunguko wa watu 6 na huwezi kujua wapi utajikwaa.
 

Mwambie, "kukosea njia ndio kujua njia"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…