Huyo kwangu namwona mdogo na wala hajajua anataka nini hapa duniani.Msisitizie asome kwanza hayo mengine baadae mlipie hiyo kuresit ambayo ni kiasi kidogo,ila kwa upande mwingine nawashangaa hao wazazi waliokubali mchumba kwa mtoto mdogo hivyo kwa upande wangu nadhan nisingekubaliana na hilo
Kicheche hicho. Lkn kuwa makini kama aliweza mtosa huyo anayemhudumia kila ki2 hata ww atakutosa. Inshort yaliyomkuta jamake wa mwanzo na ww yatakukuta.